Sunday, 6 September 2009

DONGE TEACHERS ON THEIR MEETING DISCUSSING ON HOW THEY CAN HELP THEIR PUPILS TO PERFORM BETTER IN THEIR STUDIES

Tuesday, 1 September 2009




TANZANIAN TEACHERS TOGETHER WITH THE PUPILS Of SOMERS PARK WORKING TOGETHER DURING THEIR VISIT IN UK JULY THIS YEAR

MTIHANI WA DARASA LA SABA

WEWE KAMA MZAZI UNAEPENDA ELIMU YA MWANAO UMEMWANDAA VIPI ILI AWEZE KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WAKE WA DARASA LA SABA?



UKIZINGATIA MTIHANI HUU UNAFANYIKA MWANZONI MWA MWEZI WA TISA NA UNA HITIMISHA MIAKA SABA YA ELIMU YAKE YA MSINGI.

JE?ULISHAWAHI KUFIKA SHULENI KWA MWANAO KUULIZIA MAENDELEO YAKE YA TAALUMA NA TABIA



KAMA HUJA FANYA HIVYO UJUE HUJAMTENDEA HAKI MWANAO